Email: rkimbwi12@gmail.com
Neno la ziada:
Lengo la App hii ya masifu ni kukusaidia ndugu mtumiaji kuweza kuzifikia zile sala unazozitumia katika kumsifu na
kumtukuza Mungu. Sala nyingi zilizomo katika App hii zimetokana na maombi ya watumiaji kuomba sala hizo ziwemo.
Biblia iliyomo humu ni ile ya kikatoliki yenye vitabu 72, yaani ni biblia yenye vitabu vya Deoterokanoni. Tunaendelea
kuiboresha App hii kulingana na ushauri wa watumiaji wetu.
Mungu ni mwema kila wakati, tumsifu na kumtukuza milele. Amina.